Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 640 Reaction score 1,141 Jul 1, 2024 #1 Nilifika sehem moja kinyerezi kwa casto. Nilishangaa maji yanauzwa wakati maeneo mengine hayatoki. Ni hujuma. Na Nadhani sio pia inahusika. Ili mama asipite 2025. PIA SOMA - Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini
Nilifika sehem moja kinyerezi kwa casto. Nilishangaa maji yanauzwa wakati maeneo mengine hayatoki. Ni hujuma. Na Nadhani sio pia inahusika. Ili mama asipite 2025. PIA SOMA - Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini