Waziri wa Maji kusafiri kidogo tu DAWASA mnakata maji Jumapili

Waziri wa Maji kusafiri kidogo tu DAWASA mnakata maji Jumapili

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Mlisha ambiwa na Bwana Aweso msikate maji weekend.

Mmevizia kaenda kuwatafutia fund Korea mnakata maji. Ila Dawasa mna makusudi sana mradi mharibu mipango ya waziri tu.
 
Ss wiki ya pili sasa hatujaona mkuu ww unalalamika kukosa maji wkend.
 
Wapi huko nihamie kama maji yamekatika leo tu...huku kimara na Goba hamna maji toka juzi...tunamshukuru Mungu kwa Mvua tumekingamo maji ya Mvua
 
Wewe kwenu ndiyo wamekata leo?

Huku wamekata inaenda wiki na walipoyafungua waliyafungua saa nane usiku wakafunga saa 12 asubuhi
 
Back
Top Bottom