Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira

Kifio cha Magufuli hakihitaji tume ya uchunguzi. Huyo ilikuwa lazima afe kwa namna yeyote ile ili Nchi yetu nzuri itoke mikononi mwa shetani.

Labda tuunde tume ya kusherehekea kufa kwa shetani Magufuli
 

Na ya shambulio la Lisu, na mwenyekiti awe Mnyika. Hapo ukweli utakaa vizuri.
 
Tuanze Kwanza kuunda tume ya kuchunguza kifo cha Mkapa.
 
Wana haki ya kumuhoji, maana tuhuma zimetolewa kwa Serikali....wasiishie tu kumuhoji bali waanzishe uchunguzi dhidi yake juu ya yote anayosema ametendewa ukweli wale ujulikane..

Na ukweli ukijulikana utafichwa kabatini kama ule uchunguzi wa aliyejuinganishia bomba la mafuta hapa mjini, kwani IGP alisema ndani ya siku 7 ataweka ripoti ya uchunguzi hadharani.
 
Wapinzani ni wapumbavu sana!

Kila siku huwa wanatupiwa fupa la kuahangaika nalo, huku ccm wakiendelea kufanya yao
 
Kifio cha Magufuli hakihitaji tume ya uchunguzi. Huyo ilikuwa lazima afe kwa namna yeyote ile ili Nchi yetu nzuri itoke mikononi mwa shetani.

Labda tuunde tume ya kusherehekea kufa kwa shetani Magufuli
Cheti fake relax.

Magufuli alikufa km ilivyokufa misukule ya ukoo wako
 
Wape walao clue pakuanzia,you seem to have classified information
 
Juzi Zitto alisema nyumba zake na mashamba yalichomwa na watu walitumwa na Magufuli kumuuwa na anawajua, Simbachawene Kimya wala hajajigusa. Watu wa System wanaheshimiana hadi raha yaani.
 
Kwamba yeye ni untouchable?
Mnaogopeshwa na hizo nguvu zake za giza alizochukua Nigeria?
 
uchunguzi wa nini. Alikuwa mbishi hadi anaibishia korona, kwamba korona hakuna. Korona nayo ikamjibu. Hapo muuwaji atakaebambwa ni Corona tuu.
 
Huyu waziri mpumbavu sana,angetoa taarifa kwa polisi gani?wakati waliokuwa wanataka kumdhuru wapo ndani ya polisi hiyo hiyo na wengine ni wakubwa wa hao polisi.
Hivi anajua polisi mpaka leo hawajawahi kujibu nani alimteka Mo dewji?nani alimpiga risasi Tundu Lisu?je anakumbuka wale waliotaka kumteka Mfanyabiashara Zakaria,akajiami na kuwachapa risasi?
 
Jimbo lake limechoooka yeye anakimbilia ku solve habari za ukweli Jimboni hakanyagi eti anawatumikia Wana Kibakwe 90% wahehe naona nao wamekosa kujitambua
 
Usifikiri kila anayemponda mungu wenu ni cheti feki!!
Na nita deal na wewe popote kwa namna yeyote ile ya maneno yako machafu.

Huwezi kusema marehemu wa wenzako halafu ya kwako inayooza husemi
 
Kama matukio haya yote ndivyo yalikuwa yanatokea kwanini hatoi taarifa Polisi ili hatua ziweze kuchukuliwa kuwatafuta wahusika"
Hao polisi walikuwa chini ya nani!? Tuanzie hapo
 
Nasi tutafanya hivyo Kwa Hawa wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…