Sisemi kuuawa ni halali lakini hawafikii aliouwa sa100,na America ameuwa watu wasio wa taifa lake hapa kwetu sa100 aliuwa ndugu za waliomchagua ili awaongoze.
Yaani walitoka kumchagua asubuhi jioni wakaweka matanga ya ndugu zao,ajabu hii!
Na mbaya zaidi UN hawawezi kuwawajibisha wala kuwauliza chochote.Marekani ni magaidi!