Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 23, 2024 amempokea Mhe. Mbae Mohamed, Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro anaeshughulikia Nchi za Kiarabu, nchi zinazozungumza Kifaransa, Diaspora na Utangamano wa Afrika ambae amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kuongoza vikao vya Tume ya Ushirikiano wa Pamoja baina ya Tanzania na Comoros.
Kilele cha Vikao hivyo kitashuhudia pia utiwaji saini wa Hati kadhaa za Makubaliano katika nyanja mbali mbali.
Mwingine pichani ni Balozi wa Comoro Nchini Mhe. Ahamada El Badoui.
Kilele cha Vikao hivyo kitashuhudia pia utiwaji saini wa Hati kadhaa za Makubaliano katika nyanja mbali mbali.
Mwingine pichani ni Balozi wa Comoro Nchini Mhe. Ahamada El Badoui.