Waziri wa mambo ya nje wa UAE alivyoonya Serikali za Magharibi na Wakristo kuhusu Waarabu na Waislamu

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Huyo waziri wa mambo ya nje wa UAE, mwarabu 100% anawaonya westerners na Christians wanao entertain arabs na muslims,

Msikilize mwenyewe, msiseme hamkuambiwa. Hakuna muslim zaidi ya huyo.

Dont give these people the benefit of the doubt, there up to no good


Your browser is not able to display this video.
 
If they have no difficulty blowing up fellow Muslims, why would they spare a kafir?
 
Muslims are crazy
 
mbona ajaeleza kuhusu afrika kuhusu bokoharumu,ali shababu na wengine au ndio wanaleta maendeleo afrika wakishirikiana na iran,uturuki,urusi na Pakistan
 
Let's be very specific.
Tunao jihads chungu nzima kwenye Jukwaa hili la JF; lakini huwezi kuwaona kwenye mada kama hii.

Ni wakati tuanze kuwatambua hawa wa hapa kwetu, ambao ndio tayari wapo mstari wa mbele kabisa kutuelekeza huko anakozungumzia huyo waziri

Ritz na THE BIG SHOW wao hawajifichi fiichi kama wengine.
Akina TlaatLaah, Stuxnet; Stake high
Khaahitan; hawa ni wachache wao.
 
Mbona hata kwetu Africa wameishaingiza sumu zao.
Your browser is not able to display this video.
 
Hao wote uliowataja ni chawa mashabiki kindaki ndaki wa CCM, kuna connection gani hapa 🤔
 
Uarabu/uislam ni ukoloni kwa waafrika, mwafrika kuamini na kushadidia uislam ni uendawazimu
 
Ifike muda na wakati waafrika waachane na tamaduni za kiarabu ikiwemo dini yao ya kiislam, huu ni utumwa wa kifikra. Mwafrika ajikomboe kutoka kwenye kongwa zito la mila na desturi za kiarabu na tamaduni zao zao za dini na ibada zao. Mwafrika hataendelea kuwa mtumwa wa ushenzi huo wa kiarabu imetosha
 
Hao ndio wafadhili wa RSF huko Sudan .
 
Hiyo speech sio ya leo ,wala hakutaja mtu kama ametaja hapo nioneshe na translation ipo hapo ...Huyo jamaa alikuwa anazungumzia magaidi ambao wao wanawanyonga huko wasterns wanawafuga..

Siku ukitaka vurugu zitoke kila mtu abaki nchini kwake apambane na kufanya kazi ,hakuna uhusiano ila nchi za western lazima zilipe gharama za kuharibu nchi nyingine...Tunataka kuwe na vita kila siku huko kwao.
 
Hao wote uliowataja ni chawa mashabiki kindaki ndaki wa CCM, kuna connection gani hapa 🤔
'Connection' ni kwamba CCM ilitekwa na BAKWATA; ni kitengo kinachotumiwa na BAKWATA kuendeleza yale aliyojitahidi sana kuyaepuka Mwalimu Nyrere na wenzake enzi zao ili kujenga umoja wa taifa hili.

BAKWATA imepindua meza; na kufanya yale yale yaliyokuwa yanaepukwa ili taifa liwe na umoja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…