Naahi dwa kuelewa tu aleta makocha wakigeni wanachukuwa hela zetu alafu mwisho tunarudi tumwpigwa mechi zote...siii bora tuu tuwape wakina mgunda wakajaribu bahati yaoTimu haina Coach ( kocha) , inaweza kutoka huko bila hata point moja!
Yaani kweli kuna mwananchi alitoa pesa yake? Au wenye nchi ndio wali changiaAtahalalisha vipi kwenda kwake huko ikiwa hajitii kimbelembele. Tanzania ni li nchi la ovyo na lina viongozi wa ovyo.
Nawahurumia waliochanga pesa zao sababu ya Taifa Stars. Bora hata wangetoa sadaka kwa mayatima.
HUWEZI KUMTENGANISHA NA TAIFA STARS NI SEHEMU ya Kazi za Wizara yake na ndio maana amechangisha Bil.3.7 labda tumuulize Kwanini TAIFA STARS imepigwa KIPIGO cha Mbwa koko na MOROCCO na huku tuna BIL.3.7?Mlioko jirani au huko Ivory Coast mwambieni waziri aachane na tabia ya kuingilia maandalizi mechi ya Taifa Stars...
sawa umesikikaMlioko jirani au huko Ivory Coast mwambieni waziri aachane na tabia ya kuingilia maandalizi mechi ya Taifa Stars.
Mara ampigie simu rais ni kuwavuruga wachezaji.
Yeye kama ana Nia njema aweke mazingira Vijana wakuzwe vipaji kwa kuandaa mazingira salama na motivation kadhaa.
Sioni kama Nia yake inaweza kuzaa chochote tabia ya kuvurugana haitatuacha salama. Tunaweza kupigwa mechi zote