Waziri wa michezo saidia mchezo wa Ngumi mitaani

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Watu wanapenda sana mchezo wa ngumi ila sasa ufadhili na misaada ya kitaalamu hamna ona hawa wanavyotia huruma.Mchezo wanaupenda lakini ndio hivyo tena

 
Huyu wa sasa atawauliza kwanini mnapigana? Mkimwambia tunagombea mkanda, atawaambia hiyo siyo sababu ya msingi. Yaani mkanda tu ndio mpigane? Kwanini kila bondia asipewe wa kwake?
 
Michezo mingine ndo baadae unajikuta huna akili
 
Kwa mfano akimpa up cut akazima ama kufa kabisa, hawa wapambe kwanini wasilaumiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…