Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 318
Sote Watanzania tunashuhudia kiwango vya vijana wa timu ya mpira kwa vijana wa until wa miaka 17 au Serengeti Boys. Katika uchungu wangu kikosi cha sasa ni bora na kimesheheni vipaji pengine kuliko vikosi vya awali.
Jambo la kusikitisha ni kwamba vipaji hivi vitakwenda kupote kama ambavyo vilipotea vipaji vya walio tangulia. Ni aibu kwa nchi kushindwa kuwa na Academy ya Taifa ambayo inaweza kuwatumia hawa vijana ili wakae kwa pamoja kwa Muda Mrefu na kutafutiwa mwalimu.
Lakini kama hilo halitoshi, ni jambo la ajabu pia kwamba vijana hawa watakosa kupata Academy za nje ya Africa ambazo wanayo miundo mbinu ya kukuza vipaji hivi. Tunazo Barozi kila kona ya Dunia na tunaweza kutumia hizi Barozi kutafuta Academy na kuwaunganisha hawa vijana.
Ni wakati sasa tujue Mipango ya wizara ya Michezo chini ya Mh. Mwakyembe, inayo mipango gani juu ya hawa vijana. Imetokea wakati sasa Watanzania tuungane kutoka timu bora ya Taifa.
Mh. Waziri tunataka majibu kwa vitendo. juu