Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

We mzee unazeeka vibaya sana, huyo kijana ni bogus sana na mbadhilifu mkubwa. Hiyo QR code ndio ikufanye umpambe kiasi hicho?, huyo ni miongoni mwa vijana wa ovyo aliyebebwa na mfumo wa kujuana ndani ya chama na serikali. Kiufupi CCM imeamua kubehave kama genge la mbwa mwitu (gang of wolves) na si chama cha kisiasa/kimapinduzi hata kidogo.
 
Mosi ina msafisha muhusika toka Yale aluofanya ambayo ni hasi kuwa ni chanya.
Pili nini uzuri wake kiuchumi tofauti na zile bajeti zisizo na hiyo code.
 
Kwa kweli anastahili pongezi. Hata hivyo Hotuba ya kwanza kuwa na QR Code ilikuwa ya tarehe 19 Mei, 2023 na sio ya tarehe 31 Mei

chrome-extension://efaidnbmnnnibpcajpcglclefindmkaj/https://www.bunge.go.tz/uploads/documents/press_releases/en/1680529628-RATIBA%20MKUTANO%20WA%20BAJETI%20-%202023%20-%20FINAL%20.pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…