Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

Sasa Mayala chakushangaza nini hapo yaani Kuna Mambo ya msingi ya kushauri hii Wizara nyeti umeme kero Sana Nchi hii Leo umezingua Sana sijui umepewa bahasha ili ufunike madudu ya hii Wizara kwa faida ya Nani? Sina shaka naye Personal Ila JMakamba Kama Taasisi ninashindwaga kumuelewa kabisa sijui Siasa zimezidi?

MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA🇹🇿🤲
 
Ngoja sukuma Gang wenzako wakushukie kama mwewe mimi simo.
 
Ni miaka miwili sasa imepita vijiji elfu 2 vimeshindwa kukamilika kupelekewa umeme ,wakandarasi hawaonekani alafu anakuja na porojo za kupeleka umeme kwenye vitongoji!!

Maneno mengi vitendo ziro
Achana na huyu Mpiga Zumari wa Kipara. Mtu anatuketea sifa QR CODE inamsaidia nini mwanakijiji wa Mulubanda ambaye anasaga mahindi kijiji cha 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…