Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

Mayala anateswa na njaa wala hana lolote, kapewa chake aje kusifia upuuzi hapa, mtu mzima kuwa na njaa ni hatari sn, Mayala amefanya kazi kwenye mashirika makubwa muda mrefu ameshindwa kuwa hata na nyumba 10 za kupangisha Dar/Mwz/Ars au Dom akaondokana na njaa au pesa alikuwa anapeleka wapi? ni aibu kubwa sn
 
What is the essence of QR CODES in this poor country?.
 
Mkuu kwa hatua uliofikia naomba tukuchangie ununue bajaji ikusaidie kuingiza kipato unatia aibu sn mkuu pamoja familia yako nadhani inakushanga, usikute hata ndugu yako au mwanao yupo humu haamini kama uliandika ni wewe asee, changua bajaji weka invoice admin wa JF atusaidie kukusanya huo mchango wewe ni mwenzetu ndani ya siku 2 nakuahidi tutakuwa tumemaliza mchango kazi yako ni kutafuta dereva anayejitambua awe anakufungia hesabu jioni.
 
Anafaa kua Rais kwa hili la leo nimeungana na January ni akili kubwa
 
Sifa nyingine bwana, halafu unakuta umeme unakatika hovyo hovyo. Hii style ya uchawa naona inazidi kuota mizizi.
Masikini kaka wa watu ukute amepewa bahasha ya elfu 50 kuja kufisia upuuzi kumbe wanamshushia heshima na kutweza utu wake. Imeniuma sn tumchangie Paschal anunue bajaji iwe inampa kipato hapo town.
 
January ni tapeli na jangili wala hana lolote
 
Hiyo bado haimfanyi kua bora na kusahau madudu anayofanya Kila anapowekwa, baada ya kuingia huku na kurudisha kazini wezi walio temwa na Jpm tanesko imezidi kua ya hovyo kabisa, bado hatoshi na hajawahi kutosha kwenye nafasi yoyote anayopewa, hafai kua hata balozi wa nyumba 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…