Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

Paschal una mambo ya kifala sana
 
Mwenzake Kalemani alikuwa siyo muongeaji ni kazi kazi huyu ni jangili na mla rushwa haswa
 
Mwenzake Kalemani alikuwa siyo muongeaji ni kazi kazi huyu ni jangili na mla rushwa haswa
 
Ama hakika, Asali ni Tamu
 
Wenye simu janja (smart phone) ni wachache na walikuwa nazo hawana bando na wale wenye bando hawajui kuscan wala hawana muda wa kusoma hizo porojo zenu.
Mleta mada mwambie aliyekutuma watu hawataki porojo wanataka umeme wa uhakika na wa bei nafuu.

Mambo ya sound za kindezi hayana msingi hata chembe kwa nyakati hizi.
 
Kwa hi

Mayalla Bwana so hiyo QR code ndio kinamfanya awe bora kuliko wengine

the content ya budget umepitia uone kama iko relevants to kwa nchi yetu au iko fevvorable kw kwa mabeberu Mkuu
Hizo QR Sio issue haina maana kwa mwanaichi aliyeko Sepeko huko Wilayani Monduli au PIGAMITI huko Lindi mkuuu
 
Mgombea Kwa nwaka 2025 ni mmoja tu sasa kumpambaoa va huyu dogo hatuwaelewi kabusa
 
Hilo la uwanja wa taifa mbona tanesco walishatoa ufafanuzi kua sio umeme wa tanesco ni majenereta
Huko kwingine sijui
 
Mwizi sana huyu! ukimpa nafasi atahamishia bajet yote kwa mabeberu kidigitali na azifuate kulia huko mkileta nyoko
 
Ili sio la kushangaza , mbona jambo la kawaida sana, sherehe za Udsm tu ukitaka kuwa na picha zote katika sherehe husika wanatoa QR CODE sasa kwa uyu Waziri ndo unaona ni jambo la ajabu
 
Bro paschal Mayala, huyo Makamba Hafai hata kidogo kumfananisha na Urais. Wewe kama umeona QR code ndiyo uaminifu na utendaji Bora kwake ni Sawa. Lakini kwangu Makamba is a great enemy of the nation. Hafai hata kidogo
 
Ni miaka miwili sasa imepita vijiji elfu 2 vimeshindwa kukamilika kupelekewa umeme ,wakandarasi hawaonekani alafu anakuja na porojo za kupeleka umeme kwenye vitongoji!!

Maneno mengi vitendo ziro
Hahahha unafura ukiwa wqpi? Mimba ina miezi mingapi sasa.
 
Huyo simuelewi hata umpe sifa namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…