Ndo ujue hii nch inamaajabu yake utafikiri wananch wanashida na QRCodeHili ni jambo la kusifia kweli?
Watangazaji wa Tanzania katika ubora wenu wa kusifia na kuabudu, njia pekee ya wewe watoto kwenda Chooni ni hii?Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.
Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.
Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.
Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.
La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Paskali
Ni aibu kubwa sn kwa PaschalKwa hi
Mayalla Bwana so hiyo QR code ndio kinamfanya awe bora kuliko wengine
the content ya budget umepitia uone kama iko relevants to kwa nchi yetu au iko fevvorable kw kwa mabeberu Mkuu
Hizo QR Sio issue haina maana kwa mwanaichi aliyeko Sepeko huko Wilayani Monduli au PIGAMITI huko Lindi mkuuu
Ndo ushangae. Kama wakili anawaza namna hii mtu wa kawaida itakuwaje?Hili ni jambo la kusifia kweli?
Mfikishie salamu Rais ajaye...La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Aibu snHaha
Kabisa mkuu
Siku hizi wanaenda kwenye maghorofa tu, kamba inachelewesha sanaHapana tumsaidie asije kujinyonga ni mwenzetu anapitia kipindi kigumu hana mishe town tunaweza kumsaidia
Tumpe mtaji kidogoSiku hizi wanaenda kwenye maghorofa tu, kamba inachelewesha sana
Yuko kazini,Mkuu Pascal, wewe ni wa kusifia WR code kweli? Kabisa unaanzisha uzi kusifia QR code badala ya kujadili yaliyomo ndani ya bajet?
This is a new low for you!
Hii QR code itamsaidiaje kujibu report ya CAG?Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.
Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.
Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.
Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.
La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Paskali
yaani P usomi wako wote huo, umachangamyikiwa na QR -Code , hiyo QR Code , imepunguza gharama za unit 1 ya umeme !?,Wanabodi,

Pascal umeyakanyagaa!! Ngoja walinda legacy waje!!!Wanabodi,