Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

Kumbe ni kweli waandishi wa habari mlipewa rushwa ya hela ili muisemeaa vizuri bajeti ya wizara ya nishati....hadi wewe mayala umenunuliwa? Hahahaha

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Endeleeni kumpamba lakini kamwe hawezi kuwa Rais wa JMT labda Rais wa Simba!
 
Mkuu
Mitungi 100 kwa kila Mbunge aliyotoa your presidential material, unaweza kudadavua kwa manufaa ya sisi tabularasa?
Please I humbly request
 
Can you imagine paskali ndio Mbunge wa Kawe sasa...hizo dakika 10 zake za kuchangia budget ya Wizara ya nishati ingeangazia maajabu ya hiyo code...CCM sometimes wanaonaga mbali sana.
 
Ata EFD receipt za TRA zina QR code,hamna jipya.Waziri anasifiwa kwa kushusha gharama za Nishati na kurahisisha upatikanaji wa Nishati kiufanishi kwa Wananchi.
 
Mayalla nae si Wakili msomi, daaah haya kaka,hichi ulicho kiandika ulisha kifikiria kinamsaidiaje mwananchi wa kawaida.

Ila haya mashavu ya kula asali kuna wana wanahitaji connection nao, sio mnakula peke yenu.
 
Toa ufafanuzi shallow kivipi

Twende na fact
 
yaani P usomi wako wote huo, umachangamyikiwa na QR -Code , hiyo QR Code , imepunguza gharama za unit 1 ya umeme !?,

P , tuombe radhi mkuu. Kama uliteleza Basi tutakuelewa. lasivyo sitakuamini Tena !!
Hawa ni wale Waabudu Binadamu, anamwabuudu J makamba ili watoto waende chooni
 
Wenzako wamelamba mitungi ya Gesi 100 kila mmoja. Wewe mwenzetu tena mkongwe umegonga ngapi?
 
Mkuu Pasco haya kama upo kwenye payroll jitahidi basi kuficha, QR Code ndio kitu cha kusifia kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…