Waziri wa Nishati, sema ukweli kuhusu uhaba wa umeme

Waziri wa Nishati, sema ukweli kuhusu uhaba wa umeme

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,625
Reaction score
3,141
Takribani wiki moja hivi nimekuwepo huku Njombe kikazi hususan Mji wa Makambako.

Nimekutana na balaa la kukatwa kwa umeme kwa kiwango cha kimataifa.

Kushinda bila umeme siku nzima imekuwa kawaida kabisa.

Naomba maelezo ya kina.
 
Poleni sana...

Ngoja Tanesco waje kukupa muongozo kwa kukuomba location na number ya simu...
 
Ngoja amalize kupaka mafuta kile kipara chake.
 
Hao ndio viongozi nchi hii wanatakiwa na kupigiwa chapuo nafasi za juu zaidi za uongozi nchini,pathetic!
 
Tunampenda sana lakini tunamwomba Mungu ampende zaidi maana mama hatusikii
 
Back
Top Bottom