D Daisam JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 2,625 Reaction score 3,141 Sep 30, 2022 #1 Takribani wiki moja hivi nimekuwepo huku Njombe kikazi hususan Mji wa Makambako. Nimekutana na balaa la kukatwa kwa umeme kwa kiwango cha kimataifa. Kushinda bila umeme siku nzima imekuwa kawaida kabisa. Naomba maelezo ya kina.
Takribani wiki moja hivi nimekuwepo huku Njombe kikazi hususan Mji wa Makambako. Nimekutana na balaa la kukatwa kwa umeme kwa kiwango cha kimataifa. Kushinda bila umeme siku nzima imekuwa kawaida kabisa. Naomba maelezo ya kina.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 1, 2022 #2 Poleni sana... Ngoja Tanesco waje kukupa muongozo kwa kukuomba location na number ya simu...
Kijogoodi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 1,362 Reaction score 2,373 Oct 1, 2022 #3 Ngoja amalize kulamba asali kwanza
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,113 Reaction score 65,124 Oct 1, 2022 #4 Majuzi hapa nipo Arusha wakakata umeme....... Tena wamekata bila huruma......
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,197 Reaction score 4,525 Oct 1, 2022 #5 Ngoja amalize kupaka mafuta kile kipara chake.
troiker JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 1,551 Reaction score 2,573 Oct 1, 2022 #6 Hao ndio viongozi nchi hii wanatakiwa na kupigiwa chapuo nafasi za juu zaidi za uongozi nchini,pathetic!
Hao ndio viongozi nchi hii wanatakiwa na kupigiwa chapuo nafasi za juu zaidi za uongozi nchini,pathetic!
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,053 Reaction score 10,032 Oct 1, 2022 #7 Duh... Kaz kwel kwel
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Oct 1, 2022 #8 MALCOM LUMUMBA said: Majuzi hapa nipo Arusha wakakata umeme....... Tena wamekata bila huruma...... Click to expand... Ni mgao wa kukimya kukimyaa
MALCOM LUMUMBA said: Majuzi hapa nipo Arusha wakakata umeme....... Tena wamekata bila huruma...... Click to expand... Ni mgao wa kukimya kukimyaa
Equitable JF-Expert Member Joined Dec 24, 2021 Posts 2,017 Reaction score 5,462 Oct 1, 2022 #9 Tunampenda sana lakini tunamwomba Mungu ampende zaidi maana mama hatusikii