mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Utamaduni wetu ni tunu ya taifa
Wasanii ktk nyanja mbalimbali wana nafasi kubwa ya kujenga, kuimarisha au kubomoa maadiri, miiko na mila pamoja na desturi.
Pamoja na janga la mimba za utotoni. Dunia na nchi yetu bado tunapigana vita pana ya kutokomeza magonjwa ya kuambukiza yanayochochewa na zinaa, uzinzi, ulawiti na ufiraji. Hususani Ukimwi n.k
Kuna nyimbo kadhaa na tungo nadhani zapaswa kutazamwa na kuzuiwa kuepusha uharibifu wa vizazi vyetu.
Leo unakuta mtoto wa miaka 4,5,6,7 anaimba Nasikia Nyege. Basi Nitongoze. Kama wazazi tunajisiakiaje?