Waziri Wa Singapore Asisitiza Somo La Kutongoza

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Waziri wa elimu wa singapore amehimiza kuanznia muhula uja kuwepo na somo la kutongoza katika elimu ya awali,,
hali hii imetokana na kuwepo mikakati ya kuongezeka nchini humo
habari zaidi zinasema katika hili watasisitiza hasa jinsi ya kumtongoza mwenzi wako mpaka akubali na jinsi ya kuongeza familia katika jamii,,,,,,waziri huyo amesisitiza kwamba kumekuwepo na idadi ndogo sana miaka inavyozidi kuendelea bila kuwa na mikakatai ya kufanya,,research iliofanyika imeonyesha wasingapore wengi wamekuwa waoga sana tangu kutangazwa kwa liougonjwa la ukimwi na asilimia kubwa kuamua kuishi kivyaovyao,,,,
HOJA:::
tunamwomba waziri wa elimu wa tanzania awasiliane na waziri mwenzake kuweza kupeleka walimu waliokubuhu katika shuguli hii na katika kumsuprise akachukue wale watoto....wqa ZANAKI NA JANGWANI wanaoweza kuwaaproach wanaume na vinguo vya wakiwa na umri wa miaka 15-20,,itakuwa vyema tukapata ajira kwa hili na watu kuweza kujisomesha uko mbeleni

wana JF TUNAOMBA HOJA KWA HUYU MH::::::
 
Tatizo vitoto vya kiasia vimezidi u geek, viko katika mi computer na mi video game huko kutongozana saa ngapi?

Sie hata umeme hatuna, entertainment iliyobaki ni ile aliyotupa mungu.

Saa nyingine ni mambo ya socio-economic factors tu.Kutongoza hafundishwi mtu.
 
Pundit Ajira Hiyo Kaka
 
Sasa msingapura atatongoza saa ngapi kwa siku anacheza game masaa 16!
 
Wanipe mie hiyo kazi, before tax ya USD 5 /hour inantosha sana..marupurupu najua ntapata wapi...LOL..
 
 
Maweeeeeeeeee!!!!!! Kwa kweli mila zinatofautiana. Kwa hiyo watakuwa wanapata hata tuition. LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…