Waziri wa tamisemi hatujasahau watumishi ahadi yako ya kupandisha madaraja mwaka wa fedha 2023/2024

Waziri wa tamisemi hatujasahau watumishi ahadi yako ya kupandisha madaraja mwaka wa fedha 2023/2024

bahatibahati

Member
Joined
Jul 4, 2023
Posts
44
Reaction score
84
Mh. Ahadi zako haziwezi kusahaulika kamwe za kupandisha watumishi MADARAJA yao na kwa mserereko kwani ulitoa maelekezo mchana kweupe kwamba kazi inafanyika haraka sana asiachwe mtumishi yeyote kuanzia kwenye vitongoji.

Cha kusikitisha hadi Sasa ahadi hiyo haijatekelezwa na hii ni may 2024 aambapo mishahara imetoka na hakuna mabadiliko yeyote kwa mujibu wa wahusika wenye changamoto HIZO.

pia SOMA
- Uongo wa Serikali katika kupandisha watumishi madaraja mwaka wa fedha 2023/2024

- Madaraja na mserereko wa madaraja kwa watumishi ni porojo tu. Serikali hakuna hela?

- Uongo wa Serikali katika kupandisha watumishi madaraja mwaka wa fedha 2023/2024
 
Pole mkuu kwa tanzania hii hakuna mkweli ht mmoja na niaibu kubwa kwa kiongozi kuwa muongo ila ukirjea huko katika kauli za viongozi huko nyuma ht huyu nae abaweza asiaminike
1 tumewahi kuambiwa rais hajafa tena msikitini.
2. Tumewahi kuambiwa jambo letu lipo uliliona.
3. Tumewahi kuambiwa hakutakuwa na mgawo wa umeme.
4. Tumewahi kuambiwa matibabu ya watoto wajawazito na wazee bure leo

Nb kwahiyo fanya kz mkuu ukisubiri ahadi hizo utakesha. Na utalaumiwa na watoto
 
Back
Top Bottom