DOKEZO Waziri wa TAMISEMI, miezi 3 sasa baadhi ya walioajiriwa ajira mpya hawajapata mishahara

DOKEZO Waziri wa TAMISEMI, miezi 3 sasa baadhi ya walioajiriwa ajira mpya hawajapata mishahara

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,558
Reaction score
12,335
Baadhi ya walimu walioajiriwa mwezi Julai 2022 katika halmashauri mbalimbali nchini hawajapata mishahara yao, wengine hata hela ya kujikimu hawajapata.

Maisha ni magumu kila mtu anatambua hilo. Waziri angalia Hizi Halimashauri, uwajibikaji hakuna.
Mishahara ya mwezi wa 9 imelipwa ila baadhi ya walimu hawajapata mishahara ya mwezi wa 7 wa 8 wa 9.
 
Haha na hizo ndo zimeenda mazima....mtaandika barua kuziomba mpaka mtachoka .....

Tuulizeni sisi wenzenu

Hii ndo tanzania
 
Baadhi ya walimu walioajiriwa mwezi Julai 2022 katika halimashauri mbalimbali nchini hawajapata mishahara yao, wengine hata hela ya kujikimu hawajapata.
Maisha ni magumu kila mtu anatambua hilo.
Waziri angalia Hizi Halimashauri, uwajibikaji hakuna.
Mishahara ya mwezi wa 9 imelipwa ila baadhi ya walimu hawajapata mishahara ya mwezi wa 7 wa 8 wa 9.
Hii Serikali hata haileweki kabisa ipo ipo tu na mpaka muda wake uishe tutakuwa tumechakaa.

Nashukuru Sana uwepo wa Jamii Forum, imekuwa ni Chachu ya kufichua maovu mengi ya Serikali.

Kiukweli hili limekuwa ni kimbilio la Wanyonge.
 
Hatari sana jamani tunafanyaje sasa wahanga leten namba za Kairuki basi😄😄
 
Back
Top Bottom