Baadhi ya walimu walioajiriwa mwezi Julai 2022 katika halimashauri mbalimbali nchini hawajapata mishahara yao, wengine hata hela ya kujikimu hawajapata.
Maisha ni magumu kila mtu anatambua hilo.
Waziri angalia Hizi Halimashauri, uwajibikaji hakuna.
Mishahara ya mwezi wa 9 imelipwa ila baadhi ya walimu hawajapata mishahara ya mwezi wa 7 wa 8 wa 9.