Waziri wa Ujenzi, chungulia bei za material ya ujenzi, ni maumivu

Hennes kolon

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
673
Reaction score
1,294
Cement mfuko tunanunua 19500/= Hadi 20,000/=. laki moja unapata mifuko 5 tu. Hali sio nzuri kwa kweli.
 
Serikali iliongeza kodi ya Tsh 1,000/= kwa kila mfuko wa Cement kuanzia July 1

Serikali iliongeza Tozo ya Tsh 100/= kwa kila litre ya mafuta ya petrol na Diesel. Hii ilipelekea Transporters wa Raw materials ya uzalishaji wa cement kupandisha bei ya usafirishaji.

Bei ya mafuta ya Diesel na petrol ilipanda almost kutoka Tsh 2,600/=-3,100/=

Dola haipatikani hivyo kuathiri uagizwaji wa vipuri vya mitambo ya kuzalishia Cement kutoka Nje ya nchi

Je, unategemea bei ya Cement ibaki ile ile?
Waziri wetu hafahamu haya?
 
Anafikiri serikali ndio itamsaidia, bila yeye kujua kuwa ndio iliyosababisha bei ya Cement kuwa juu
 
Back
Top Bottom