LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,109
Imezuka tabia ambapo miradi ambayo haijakamilika na kukabidhiwa kutoka kwa mkandarasi inazinduliwa kuanza matumizi yake. Kinachotokea sasa miradi inayotumika lakini haijakamilika inaongezeka na hakuna dalili kama inaendelea kujengwa. Mfano barabara kubwa ya Kimara-Kibaha na hii ya Morocco-Mwenge.