Ni kweli ni jambo hata uhalisia haueleweki. Unazi Dua mradi unakaa miezi zaidi ya sita ujenzi hauanzii, lLengo ni nini? Ni kufurahisha watu au kuonesha kwamba ninyi ni waongo. Kunamtu wakati wanazindua aliuliza ujenzi utaanza link,hakunaaliyejibu. Heri wataje tarehe rasmi ya kuanza. Usizindue mradi wakati huna uhakika wa pesa.LengImezuka tabia ambapo miradi ambayo haijakamilika na kukabidhiwa kutoka kwa mkandarasi inazinduliwa kuanza matumizi yake. Kinachotokea sasa miradi inayotumika lakini haijakamilika inaongezeka na hakuna dalili kama inaendelea kujengwa. Mfano barabara kubwa ya Kimara - Kibaha na hii ya Morocco-Mwenge.
Upigaji wa hela tu hamna loloteBarabara ya Mwenge Morocco nimezaliwa nimekua hadi leo inajengwa tuuuuu.!!