Ndugu Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa pamoja na watendaji wote wa TANROAD Mkoa wa DSM.
Wananchi wanataka kujua kuna tatizo gani au kitu gani kimekwamisha kukamilika na kuanza kutumika barabara ya mwendo Kasi kuanzia kimara mwisho hadi mpakani kibaha?
Barabara ya mwendo Kasi kuanzia eneo hilo inasaidia sana wananchi kuwahi shughuli zao za kiuchumi.
Wananchi wanaomba barabara hiyo ikalimike na ianze kutumika.
Sambamba na hilo wananchi wanaomba barabara hiyo iwekewe taa za barabarani ili kusaidia usalama nyakati za usiku au hili la taaa za barabarani nalo tuombe msaada?!! Hapana!
Tunawaomba watendaji mlio pewa dhamana na Mhe. Rais timizeni wajibu wenu kikamilifu kwa kutatua kero na matatizo ya wananchi.