Waziri wa ulinzi mstaafu wa Israel Benny Gantz ataka Iran ipigwe moja kwa moja Ili kuleta amani na Usalama wa kudumu kwa taifa la Israel

Hao Israel wasitusababishie maisha magumu. Visima vya mafuta ktk nchi za hapo middle east vikipigwa moto, njia za meli zikazuiwa tutakaoathirika zaidi ni sisi nchi masikini.

Hao wapenda vita watuache!
 
Hata marekani bwana wao na Isreael wazo lao ni hilo hilo lakini mbona wanachelewa? Iran ya sasa sio Iraq ya Sadam Husein, hao mayahudi wa US wanajua hilo ndio mana likija wazo la kuishambulia Iran moja moja wanatia ulimi puani
 
Sasa hivi namuona Netanyahu anahamasisha , apigwe nduli kobazi mkuuuuuii ,

Idf.. APIGWEEEEEEE

NETANYAHU, apigwe nduli makobaziiiiiiiii

IDF, Apigweeee kobazi mkuuuu
 
Huu ndio muda wa kuinyuka nchi hiyo ya maayatollah wenye chuki na israel. Ayatollah naye akimbilie urusi kupata hifadhi
 
Iran imekwisha shindikana...
Labda nikuambie tu ukweli na hata ukafanye research, jeshi la US ardhini wapo hovyo wanazidiwa hadi na Israel, fanya research hata mtandaoni, wanachowazidi wengine ni uchumi, silaha na wingi wa askari, lakini US hagusi hata kwa Russia man to man... Watachakazwa....
Inasemekana IDF ni highly trained kuliko US Army....

Sasa kama IDF wanapelekeshwa na kakikumdi ka migambo imagine...

Vita kati ya Iran na Israel ikiibuka ujue Russia , China , NK n.k wataibuka, hapo hakuna mshindi zaidi ya Israel kuchakazwa....

Ndio maana wachambuzi ambao hawapo biased wanasema kwa uwazi pasipo Soviet kwenye WW2 , allies wasingeshinda, vita waliopigana soviets unaweza kutambua ukweli ukifuatilia...
 
Umeeleweka Kiongozi. Nimejichanganya; Israel is not a one-man show like dictator regimes. Netanyahu despite of all good things he did for the nation of God bado anatakiwa kusimama in the court of law to defend himself. Thanks.
 
Huu ndio muda wa kuinyuka nchi hiyo ya maayatollah wenye chuki na israel. Ayatollah naye akimbilie urusi kupata hifadhi
Neno CHUKI maana yake halisi inapatikana kwa Ayatollah. Lucifer aende Iran kujifunza maana ya hilo neno. Dah; jamaa wana chuki za ajabu!
 
Wanaona vita ni rahisi sana wakapigane tuone hapo jirani hesbal wameshindwa kabisa kufurukuta. Sioni njia ya Israeli Kuishinda iran kwa sasa irani anaweza kurusha makombora 2000 kw mkupuo huo uwesi hata usa hawana achilia mbalia western country
 
Wata
Watachakazwa vibaya na Iran
 
Hao siyo warabu ni waajemi naniwatu wavita enzi naenzi kwahiyo usidhani Israel anaweza kujipigia tu kama awezavyo dhubuthuu
 
Kwann hakufanya hivyo kipindi yeye akiwa waziri wa ulinzi?
Saa nyingine wana siasa wana kuwa na tumba nyingi.
 
Hezbollah kabla ya kupewa kipigo cha mbwa koko ulisema hivi hivi.
Hizbullah kapewa na nani kipigo cha mbwa koko!?..cease fire imetoka kwa wateule wa mchongo, hizbullah wao walisema hii ni vita ya nani atakua wa kwanza kutoa mlio,na mlio ulitoka tell aviv
 
Hezbollah kabla ya kupewa kipigo cha mbwa koko ulisema hivi hivi.
Nyie mazwazwa ni mzigo kwa taifa yani Israel iliwakimbia Hezbollah kwenye vita vya ana kwa ana au man to man leo mnadai hezbollah kachakazwa!!!! Uwongo umekuwa ni kitambi kwenu.
 
Nyie mazwazwa ni mzigo kwa taifa yani Israel iliwakimbia Hezbollah kwenye vita vya ana kwa ana au man to man leo mnadai hezbollah kachakazwa!!!! Uwongo umekuwa ni kitambi kwenu.
Ukikuwa na ukawa na akili japo kidogo tu, utaelewa.
 
Kama wameshindwa kuitandika hisballah itakuwa Iran . Mpaka sasa hamasi anapigana na ameshiilia mateka
Hii jana hamas kafanya oparation hii

Al-Qassam Brigades: In a complex security operation A number of our mujahideen managed to stab and kill 3 Zionist soldiers who were on a mission to protect a building in which a Zionist force was barricaded, then they stormed the house and eliminated all members of the Zionist force from zero distance, seized their weapons and took out a number of citizens who were held by the occupation inside the house in the Beit Lahia project in the northern Gaza Strip 🇵🇸🔻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…