Waziri wa ulinzi mstaafu wa Israel Benny Gantz ataka Iran ipigwe moja kwa moja Ili kuleta amani na Usalama wa kudumu kwa taifa la Israel

Taifa takatifu kwa misingi ya dini ipi?,.........uislam au uyahudi?,maana Israel ukristo kule kama takataka TU?
 
Neno CHUKI maana yake halisi inapatikana kwa Ayatollah. Lucifer aende Iran kujifunza maana ya hilo neno. Dah; jamaa wana chuki za ajabu!

Sisi kobazi tunajifunza karate kwa ajili ya kuwapiga chembe kidevu wake zetu si umeona hapo
 
Upo wasiwas mkubwa, URUSI + IRAN wametangaza kusaini mkataba mkubwa wa kijeshi baina yao...nadhani februari 2025
Then kuna kauli ya TRUMP anakuja kubadili Ramani ya middle EAST....
Sasa hii kauli ya GRATZ ...!!!!..
Kuna jambo baya litatokea ..manake tambua iran sio Syria wala iraq
 
Lete ushahidi kama uislam umesema tupige wanawake.
Nasubiri hapa.
Maana nakuonaga unavyowashwa kuleta habari za uongo kila muda.
We choqo huoni mpaka mistari chini hapo au umepakatw@ hapo huoni unasikia raha utamu
 
We choqo huoni mpaka mistari chini hapo au umepakatw@ hapo huoni unasikia raha utamu
Lete ushahidi maana nimesona Quran yote sijaona hiko kipande.
Halafu uwe na adabu mtoto wa nje ya ndoa wewe unapoongea.
Aya lete ushahidi wa maandiko ya Quran hapa kuthibitisha unachosema.
 
Kuongea ni rahisi
 
Lete ushahidi maana nimesona Quran yote sijaona hiko kipande.
Halafu uwe na adabu mtoto wa nje ya ndoa wewe unapoongea.
Aya lete ushahidi wa maandiko ya Quran hapa kuthibitisha unachosema.
Kweli mimi mtoto wa nje ya ndoa wa kiume kamili rijali hivi wazazi wako wanajua kuwa wewe ni chakula cha watu aka punga ? Aya si ipo hapo
 
Kweli mimi mtoto wa nje ya ndoa wa kiume kamili rijali hivi wazazi wako wanajua kuwa wewe ni chakula cha watu aka punga ? Aya si ipo hapo
Fala kweli wewe.
Hiyo ayah unauhakika inasema hivyo!?
Ni vema umekubali wewe ni mtoto wa nje ya ndoa ambao ni uhalisia.
Ila ulichosema kuhusu mimi sio uhalisia hivyo wala hakiumi maana sio cha kweli.
Unapochukua taarifa uwe unahakiki ukweli wa taarifa sio kuropoka na kushadadia usiyoyajua.
Uislam una hekima,Qur'an 4:34 inasema " Mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke kulingana na alivyowafadhilsha baina yao,kwa mwanamke asiye mwema basi mwanaume amkanye kwa mdomo na ampe nasaha,kama hatosikia basi afanye vitendo vya kumnyong'onyesha mathalan kumhama kitanda,kama hajasikia basi amchape kichapo kisichoumiza chepesi,na kwa walio wema watendewe wema zaidi".
Unaokota huko maandishi kwa walaaniwa wenzako kama wewe ulivyolaaniwa mtoto wa nje ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…