Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Waziri wa Ulinzi Israel Katz:
"Licha ya shirika la kigaidi la Hamas kukiuka mara kwa mara na kukataa kwake mipango uliotolewa na mjumbe maalum wa Rais Trump katika Mashariki ya Kati Witkoff, tulijibu ombi la mpatanishi la kuruhusu siku chache zaidi za mazungumzo.
Na wakati huo huo tumesimamisha misaada ya kibinadamu kwa Gaza.
Hamas wasifanye makosa, huu ni mwanzo tu. Ikiwa Hamas haitawaachilia mateka hivi karibuni, milango ya Gaza itafungwa na milango ya kuzimu itafunguliwa.
Tutarudi kupigana na Hamas itakabiliana na IDF kwa nguvu na mbinu ambayo haikujua, hadi Hamas imeshindwa kabisa. Hatutawaruhusu Hamas kutawala Gaza.”