dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
“We have not seen evidence of that at this moment. But, you know, we will continue to collaborate with our Israeli counterparts to gain better fidelity on exactly what they are looking at,” Austin told reporters in Rome.
SOURCE:Aljaazeera
Hata BBC juzi waliripoti kwamba huu ulikuwa uongo wa hawa jamaa hakuna chochote kilichopatikana kinachofanana na kile Israeli walichoshutumu juu ya kilichopo chini ya hiyo hospitali Beiruti,
kinachoonekana hawa jamaa wa mchongo katika uso wa dunia ni kuangusha hizi hospitali ili raia wakose pa kutibiwa kwasababu ndo wanao walenga haswa,pia wanalenga raia kwasababu hezbollah hawaonekani wala hawajulikani walipotu japo wanajibu mapigo kwa kiwango wasichokitarajia ndo maana hasira zao wanamalizia kwenye majengo na raia maskini
MUNGU BARIKI HEZBOLLAH NA HAMAS