Waziri wa Usalama wa Ndani aapa kumshughulikia Raila Odinga vikali kesho kutwa

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Waziri wa usalama wa ndani Professor Kithure Kindiki ametuma onto kali kwa upinzania kuelekea maandamano mengine yanayotarajiwa siku ya Jumatano.

Kithure amesisitiza kuwa hakuna aliye juu ya Sheria na hatoruhusu uharibifu wa kama ilivyotendeka Ijumaa iliyopita.

'Maafisa wetu wa usalama wapo tayari kumshughulikia yeyote aliye na nia ya kuharibu amani na mali ya wananchi' amesema Kithure Kindiki wakati akihutubia Wanahabari jioni ya Leo.

Onto hili linakuja saa cache baada ya Raila kuandaa mkutano mfupi katikati ya Jiji ambapo alisema kwamba raia wamechoka na wapo tayari kwa lolote siku ya Jumatano. Aidha Raila amemtaka Rais Ruto kuachia madaraka huku mchakato wa kukusanya saini milioni 10 kwa ajili ya kumng'atua madarakani ukitarajiwa kuanza kabla ya mwishoni mwa wiki hii.
 
Hahahaha, nchi yenye demokrasia na katiba mpya [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom