Waziri wa Utumishi wa Umma na kazi Rwanda asimamishwa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Dkt. Jeanne d'Arc Mujawamariya asimamishwa katika majukumu yake akisubiri uchunguzi kuhusu masuala ya Uwajibikaji kumalizika

Julai 25, 2024, waziri atafikishwa mbele ya bunge kujibu masuala kuhusu mwongozo duni wa mipango ya ardhi, upatikanaji wa maji, na mkakati wa kutatua tatizo la vyanzo vya maji vya asili vinavyoharibu mali za raia na miundombinu.

Dkt Mujawamariya ni miongoni mwa viongozi waliodumu kwa muda mrefu katika baraza la mawaziri na pia amewahi kuwa balozi wa Rwanda nchini Urusi.
 
Dkt. Jeanne D,Arc Mujawamariya asimamishwa katika majukumu yake akisubiri uchunguzi kuhusu masuala ya Uwajibikaji kumalizika

Julai 25, 2024, waziri atafikishwa mbele ya bunge kujibu masuala kuhusu mwongozo duni wa mipango ya ardhi, upatikanaji wa maji, na mkakati wa kutatua tatizo la vyanzo vya maji vya asili vinavyoharibu mali za raia na miundombinu.

Dkt Mujawamariya ni miongoni mwa viongozi waliodumu kwa muda mrefu katika baraza la mawaziri na pia amewahi kuwa balozi wa Rwanda nchini Urusi
Meno ya mbwa hayaumani.
 
Siasa
 
Ivo ndo inatakiwa sasa, sio mtu ameshakula fedha za umma asimamishwe bila kuwajibishwa
 
Vp ushindi kama wa Kagame wa 99.9% nao unatakiwa?
Sikatai kuwa jamaa ana udikteta lakin mazur aliyonayo yanastahili kuigwa, ili kuwaadabisha wabadhilifu naona itasaidia viongoz kuwa wawajibikaji zaidi. Mazuri yao yachukuliwe tuchanganye na yetu kuendeleza mapambano
 
Back
Top Bottom