Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Meno ya mbwa hayaumani.Dkt. Jeanne D,Arc Mujawamariya asimamishwa katika majukumu yake akisubiri uchunguzi kuhusu masuala ya Uwajibikaji kumalizika
Julai 25, 2024, waziri atafikishwa mbele ya bunge kujibu masuala kuhusu mwongozo duni wa mipango ya ardhi, upatikanaji wa maji, na mkakati wa kutatua tatizo la vyanzo vya maji vya asili vinavyoharibu mali za raia na miundombinu.
Dkt Mujawamariya ni miongoni mwa viongozi waliodumu kwa muda mrefu katika baraza la mawaziri na pia amewahi kuwa balozi wa Rwanda nchini Urusi
SiasaDkt. Jeanne D,Arc Mujawamariya asimamishwa katika majukumu yake akisubiri uchunguzi kuhusu masuala ya Uwajibikaji kumalizika
Julai 25, 2024, waziri atafikishwa mbele ya bunge kujibu masuala kuhusu mwongozo duni wa mipango ya ardhi, upatikanaji wa maji, na mkakati wa kutatua tatizo la vyanzo vya maji vya asili vinavyoharibu mali za raia na miundombinu.
Dkt Mujawamariya ni miongoni mwa viongozi waliodumu kwa muda mrefu katika baraza la mawaziri na pia amewahi kuwa balozi wa Rwanda nchini Urusi
Ivo ndo inatakiwa sasa, sio mtu ameshakula fedha za umma asimamishwe bila kuwajibishwa
Sikatai kuwa jamaa ana udikteta lakin mazur aliyonayo yanastahili kuigwa, ili kuwaadabisha wabadhilifu naona itasaidia viongoz kuwa wawajibikaji zaidi. Mazuri yao yachukuliwe tuchanganye na yetu kuendeleza mapambanoVp ushindi kama wa Kagame wa 99.9% nao unatakiwa?