Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Aug 1, 2023 #1 Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) atembelea Kiwanda cha Magodoro cha TANFOAM kilichopo Jijini Arusha kujionea shughuli za uzalishaji magodoro na kisikiliza changamoto walizonazo, tarehe 01 Agosti, 2023.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) atembelea Kiwanda cha Magodoro cha TANFOAM kilichopo Jijini Arusha kujionea shughuli za uzalishaji magodoro na kisikiliza changamoto walizonazo, tarehe 01 Agosti, 2023.