Waziri wangu Mwigulu Nchemba Hakika upo kazini!

Waziri wangu Mwigulu Nchemba Hakika upo kazini!

Ndikwega

R I P
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,979
Reaction score
5,527
Sasa hivi kila tukio wizara ya fedha lazima uwe ni wewe uliyelitenda yaani kana kwamba wewe ndiyo kingozi pekee na msemaji huko wizarani. Punguza misifa mkuu, wewe Fanya kazi Watanzania wataiona na si kujinadi kwa kila jambo na hali ndiyo wajibu wako.
Punguza misifa,umewameza wote halo wizarani.
 
Back
Top Bottom