Wazo binafsi

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,834
Natoa wazo binafsi kama mtanzania mzalendo, "Futeni uchaguzi wa jimbo la Liwale na zile kata 37. Pesa ya kuandaa huo uchaguzi wa marudio pelekeni rambirambi kule Ukerewe. Halafu hilo jimbo na hizo kata wapatieni wagombea wa chama tawala.
 
Umenena sahihi kabisa maana hata uchaguzi ukifanyika bado ni hao hao watashnda kwa njia wanazo zijua wao ni bora pesa ikapelekwa kwa ndugu zetu wafiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…