American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
Kipindi cha zamani kabisa, enzi za mwalimu, "Tsh" ilikuwa na thamani kubwa, kiasi kwamba mtu aliweza kujenga nyumba bora na ya kifahari kwa Tsh 800 Tuu! Ila kutokana na hawa viongozi wetu na mfumo wao mbovu, Mambo yalibadilika Ghafla na Tsh kuanza kuporomoka kwa kasi kama maporomoko ya Mto Ruaha, kwa Usd na Currents nyingine. Hali hiyo iliendelea ila kwa sasa hali imezidi kuwa mbaya zaidi, Leo ikitokea mtu aliyefariki mwaka 1970 akafufuka na kuja Leo hapa Tanzania atashtuka mno kwa maisha yalivyo ghali na huenda akakimbilia hukohuko alikotoka (akhera).
Kwa jicho la Tatu suala la Tsh kurudi na kuja kuwa kama mwanzo ni ndoto za mchana kweupe kabisa!
Kipi kifanyike ili kunusuru Maisha ya Watanzania na Hii sarafu yetu inayoporomoka kila kukicha!!?
Nchi kama vile Congo, Zimbabwe na nyingine nyingi zilipoona Hela yao imeshuka Thamani kwa kiasi kikubwa waliamua kuteketeza na kuipoteza hela yao kisha kuanza kutumia USD" Hivyo nikiwa kama raia nawashauri wabunge na viongozi wa juu kupeleka muswada Bungeni juu ya hili, TUIPOTEZE TSH KISHA TUTUMIE USD maana kuja kuzinduka baada ya miaka 20 mbele na kuanza kutumia USD tutakuwa tumechelewa ni bora tukaanza sasa, maana Tsh kurudi thamani yake za miaka 40 iliyopita ni sawa na Vipande vya nyama ya Nguruwe kuliwa Msikitini! Haiwezekani, Never kwa hii Tanzania ninayoijua mimi.