Wazo bunifu: Ma IT wa JF

Ishu sio kutengeneza bro. Msala ni funds tu. Hii app unayosemea inaitwa FREELANCER APP. Zipo londo ni swala la kununua na kuweka mfumo wa malipo na kupakia playstore na appstore.
 
Kaongee na azampay bro unaweza tusua mapene. Ova
 
Ishu sio kutengeneza bro. Msala ni funds tu. Hii app unayosemea inaitwa FREELANCER APP. Zipo londo ni swala la kununua na kuweka mfumo wa malipo na kupakia playstore na appstore.
Hapa TANZANIA tunahitaji App Kama hiyo kwa nchi nzima hasa kutoa fursa katika Kazi za mikono Kuna watu wana Kazi zao za malipo kidogo hivyo akipata Mtu ambaye yupo eneo la karibu anamtafta na kumpa hiyo Kazi kwa Bei nzuri



HIli wazo litajikita katika Kazi za mikono zaidi tofauti na hizo upwork


Pia tunaweza kuboresha zaidi hata mtu ambaye Hana smartphone akatumia lengo ni kuhakikisha fursa Inamfikia Mtu akiwa eneo husika kwa ukaribu zaidi nadhani wazo langu ni zuri Sana Kama mtalizingatia
 

Dr. I am glad you brought this.

Actually hiyo ndiyo naifanyia kazi. Umeshaoanisha shida ya kwanza. Shida ya pili ambayo nataka kutatua ni hiyo ya malipo. Nimeona vibarua wengi wanazungushwa na malipo yao mara baada ya kumaliza kazi.

Kwa hiyo solution yangu ni kwamba, employer yoyote akipost kazi, lazima aweke na hela kwenye app. Kibarua yoyote ambaye employer atamchagua kufanya hiyo kazi atalipwa na system mara baada ya employer kuridhika na utendaji wa kazi yake.

Nilipokwama ni hapo kwenye transaction. Ukiangalia hizo dynamics zake kama nilivyosema hapo post za mwanzo, hakuna kampuni yoyote inayotoa escrow (holding) services.

Pia kuna vitu vingine vipo kwenye app ambavyo nimeviweka tayari ambavyo vitaweza kubadili utendaji, uaminifu, uadilifu na mambo mengine.

Kitu kingine kikubwa ambacho nilitaka niki-enforce ni ku-set minimum payment. Kama jamii inabidi tuwe part of solution and not problem. What I mean is, huwezi kumlipa kibarua TShs3000 kwa siku nzima halafu utegemee aweze kumudu maisha yake, especially kama ana familia. Kama employer uko katika position nzuri, at least lipa reasonable wage ili huyu kibarua aweze kujikimu.

I am doing final touches and testing thereafter. So, it will be out within two months. App name will come out later.

Stay tunned.
 
Kaongee na azampay bro unaweza tusua mapene. Ova

Nitajaribu kuongea nao. Kama nilivyosema hapo nyuma, ikishindikana kwa sasa, nitafanya employer wa-post kazi bila deposits yoyote. Labda baadae nita upgrade once hiyo huduma ikitokea.

Thanks.
 
Kama mtu atalipwa elfu tatu sio tatizo , tatizo je hiyo Kazi ni masaa au dk ngp lengo watu wawe na wigo mpana wa kufanya Kazi Sehemu hata sita within a day hili wazo linabidi kuboreshwa zaidi .
 
Mzee baba namba 33& 34 unaweza unda combined software for them
 
Kama mtu atalipwa elfu tatu sio tatizo , tatizo je hiyo Kazi ni masaa au dk ngp lengo watu wawe na wigo mpana wa kufanya Kazi Sehemu hata sita within a day hili wazo linabidi kuboreshwa zaidi .

Yes Dr. Hivyo vyote viko kwenye app ndio maana nilitaka kuweka hiyo mechanism yaku collect wages and hold. Hiyo TShs3000 nilimaanisha wage ya siku nzima.
 
Imekaa vizur sana hii
 
Fafanua vizur hii sijaelewa
 
Good idea aisee
 
Hii kibongo bongo inawezekana kweli hiyo Escow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…