Hebu fafanua basi .refer wales players in EPL then utapata jibu....
Unapozungumzia UK ndo unazikuta Wales,Scotland na Ireland ndo mfano aliokupa pamoja na England yenyewe ila ukisema GB hapo inasimama England.Hebu fafanua basi .
Tunazungumzia yetu hapa hayo ya wazungu kakae na watumwa wenzako myazungumze. I hate European football.