Wazo fikirishi kuhusu ajira kwa vijana kaya masikini ili kuondoa utegemezi

Wazo fikirishi kuhusu ajira kwa vijana kaya masikini ili kuondoa utegemezi

Angyelile99

Member
Joined
Oct 9, 2023
Posts
89
Reaction score
164
Binafsi naona serikali itumie njia ya recruiting vijana waliopata elimu aidha kwa ngazi ya diploma ama degree wanaopatikana katika familia zinazofadhiliwa na mfuko wa TASAF ili kuondoa dhana ya utegemezi kwa vijana hawa na kupunguza umasikini kwa kupata ajira zitakazowawezesha kujikimu wao na familia zao.
 
Tanzania yasasa nikupambania mambo yako!,wao hawawezi kuwa na wazo la namna hiyo maana wanapambania matumbo yao! ni kama vile hatuna think tanks!.

Waambie hao vijana wapambane kwa uwezo wao na kila fursa wasiiache!!.. huku kwenye ulingo mambo ni moto sana jua ni kali mno..😅
 
Binafsi naona selikali itumie njia ya recruiting vijana wakio pata elimu aidha kwa ngazi ya diploma ama degree wanaopatikana katika familia zinazo fadhiliwa na mfuko wa TASAF ili kuondoa dhana ya utegemezi kwa vijana hawa na kupunguza umasikini kqa kupata ajira zitakazo wawezesha kujikimu wao na familia zao
Kwa hiyo vijana wengine wafanyeje!? Acheni ubaguzi km Wajumbe wa Nyumba 10 hao wa TASAF wasaidiwe mara ngapi wengine kila Mwisho wa Mwezi wanaingiziwa 200,000 wamekaa Pesa kila Mwisho wa Mwezi inaingia wamejengewa nyumba za kisasa bati za Msouth Aluminium dirisha full vioo wamekosa kiyoyozi tu, yaan umepewa lift sasa umenogewa unataka upige na HONI? Acheni kujinufaisha kwa MGONGO wa TASAF
 
hApa unapigia mbuzi gitaa serikali yetu c sikivu mkuu..
 
Tanzania yasasa nikupambania mambo yako!,wao hawawezi kuwa na wazo la namna hiyo maana wanapambania matumbo yao! ni kama vile hatuna think tanks!.
waambie hao vijana wapambane kwa uwezo wao na kila fursa wasiiache!!.. huku kwenye ulingo mambo ni moto sana jua ni kali mno..😅
TASAF isiwe sehemu ya wajanja kujinufaisha kwa kisingizio cha Kaya Masikini kuna Kaya sio masikini Ila wapo kwenye mrija wa TASAF wanakamua tu mihela
 
Kwa HIO vijana wengine wafanyeje!? Acheni ubaguzi km Wajumbe wa Nyumba 10 hao wa TASAF wasaidiwe mara ngapi wengine kila Mwisho wa Mwezi wanaingiziwa 200,000 wamekaa Pesa kila Mwisho wa Mwezi inaingia wamejengewa nyumba za kisasa bati za Msouth Aluminium dirisha full vioo wamekosa kiyoyozi tu, yaan umepewa lift sasa umenogewa unataka upige na HONI? Acheni kujinufaisha kwa MGONGO wa TASAF
Daah inaonekana unauchung na nchi saana. Wazo zuri pia
Binafsi naona selikali itumie njia ya recruiting vijana wakio pata elimu aidha kwa ngazi ya diploma ama degree wanaopatikana katika familia zinazo fadhiliwa na mfuko wa TASAF ili kuondoa dhana ya utegemezi kwa vijana hawa na kupunguza umasikini kqa kupata ajira zitakazo wawezesha kujikimu wao na familia zao
Daah
 
Na wewe unataka useme UPO kwenye Kaya Masikini? Acheni usenge
😂😂😂😂😂😂 Hata hao kaya maskini anayewasikiliza nani Zaid yakuja kuwahada na kanga na t-shirt kipindi Cha uchaguzi afsaa
 
😂😂😂😂😂😂 Hata hao kaya maskini anayewasikiliza nani Zaid yakuja kuwahada na kanga na t-shirt kipindi Cha uchaguzi afsaa
TASAF wana level za malipo kuna wanaolipwa mpaka Laki 3 kwa Mwezi
 
Back
Top Bottom