Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 89
- 164
Kwa hiyo vijana wengine wafanyeje!? Acheni ubaguzi km Wajumbe wa Nyumba 10 hao wa TASAF wasaidiwe mara ngapi wengine kila Mwisho wa Mwezi wanaingiziwa 200,000 wamekaa Pesa kila Mwisho wa Mwezi inaingia wamejengewa nyumba za kisasa bati za Msouth Aluminium dirisha full vioo wamekosa kiyoyozi tu, yaan umepewa lift sasa umenogewa unataka upige na HONI? Acheni kujinufaisha kwa MGONGO wa TASAFBinafsi naona selikali itumie njia ya recruiting vijana wakio pata elimu aidha kwa ngazi ya diploma ama degree wanaopatikana katika familia zinazo fadhiliwa na mfuko wa TASAF ili kuondoa dhana ya utegemezi kwa vijana hawa na kupunguza umasikini kqa kupata ajira zitakazo wawezesha kujikimu wao na familia zao
TASAF isiwe sehemu ya wajanja kujinufaisha kwa kisingizio cha Kaya Masikini kuna Kaya sio masikini Ila wapo kwenye mrija wa TASAF wanakamua tu mihelaTanzania yasasa nikupambania mambo yako!,wao hawawezi kuwa na wazo la namna hiyo maana wanapambania matumbo yao! ni kama vile hatuna think tanks!.
waambie hao vijana wapambane kwa uwezo wao na kila fursa wasiiache!!.. huku kwenye ulingo mambo ni moto sana jua ni kali mno..π
Na wewe unataka useme UPO kwenye Kaya Masikini? Acheni usengehApa unapigia mbuzi gitaa serikali yetu c sikivu mkuu..
Daah inaonekana unauchung na nchi saana. Wazo zuri piaKwa HIO vijana wengine wafanyeje!? Acheni ubaguzi km Wajumbe wa Nyumba 10 hao wa TASAF wasaidiwe mara ngapi wengine kila Mwisho wa Mwezi wanaingiziwa 200,000 wamekaa Pesa kila Mwisho wa Mwezi inaingia wamejengewa nyumba za kisasa bati za Msouth Aluminium dirisha full vioo wamekosa kiyoyozi tu, yaan umepewa lift sasa umenogewa unataka upige na HONI? Acheni kujinufaisha kwa MGONGO wa TASAF
DaahBinafsi naona selikali itumie njia ya recruiting vijana wakio pata elimu aidha kwa ngazi ya diploma ama degree wanaopatikana katika familia zinazo fadhiliwa na mfuko wa TASAF ili kuondoa dhana ya utegemezi kwa vijana hawa na kupunguza umasikini kqa kupata ajira zitakazo wawezesha kujikimu wao na familia zao
ππππππ Hata hao kaya maskini anayewasikiliza nani Zaid yakuja kuwahada na kanga na t-shirt kipindi Cha uchaguzi afsaaNa wewe unataka useme UPO kwenye Kaya Masikini? Acheni usenge
TASAF wana level za malipo kuna wanaolipwa mpaka Laki 3 kwa Mweziππππππ Hata hao kaya maskini anayewasikiliza nani Zaid yakuja kuwahada na kanga na t-shirt kipindi Cha uchaguzi afsaa