Wazo Fyatu: Tulizoea kushangilia "Mtu Kaula"

Ukiwa waziri au naibu waziri kwa Tz ni kwamba 'umeula', huo ndio ukweli hata ubishe.

Huko kuwatumikia wananchi bado hakuzuii wewe 'kuula'.
Hata MAGUFULI alinunua nyumba za umma kwa bei chee dodoma na huko oysterbay kipindi nlipokuwa wazir! Na hajawahi kuzitaja popote kwamba anazimiliki! Alikwenda mbali hata kumnunua nyumba hawala yake na kumuuliza nyumba mdogo wake aitwaye musa.
Kama kweli yeye mzalendo mbona hajawahi kutaka popote kwamba anqzimiliki hizo nyumba na au kuzirudisha serikalini.?
Msituhadae hapa huyo mwizi kama wengine tu waliomtangulia
 
Kumbe Ni wazo fyatu!.upo sahihi wewe level yako siku hizi Ni mawazo fyatu kàma haya!
 
Kuteuliwa ili ukafanye kazi chini ya kichaa ni kazi
 
Wazo hili bado ni hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…