Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hii hoja isipuuzwe hata kidogo posho za madaraka wanazolipwa Hawa viongozi hazina maana yoyote ile. Mkuu wa shule na Mwalimu mkuu Huwa hawana vipindi vyovyote shuleni. Muda wote ni kutanga na njia na kusimamia maendeleo ya shule husika.
Kwa kuwa Sheria ya utumishi inataka wazi malipo yalipwe kwa kiwango Cha elimu na Hawa watumishi hulipwa kulingana na kiwango Chao Cha elimu ni muda Sasa wa kulingalia upya suala la kuwapa posho ya Kila mwezi kwani wanapoteuliwa tu kuwa wakuu wa shule ama walimu wakuu Huwa wanajiondolea majukumu ya kufundisha.
Ikumbukwe kuwa serikali ya Tanzania Haina uwezo wa kuajiri vijana wengi kutokana na ukosefu wa fedha za kuajiri na kwa kuwa mkuu wa shule hulipwa Tsh 250000 kama pesa ya madaraka na Mwalimu mkuu hupewa Tsh 200000 kama posho ya madaraka ni Bora pesa hizo zikatumika kutoa ajira mpya. Am done