donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Habariza weekend wakuu,
Natumaini mko poa kabisa. Wazo langu japo ni la kibwege, Ni kwamba mnaonaje wakuu kama tukianzisha channel (hall) ya JF kule Clubhouse?? Najua dhima kuu ya If Ni kumaintain anonymity lakini kwakua kule Ni sound (audio) pekee haitakua mbaya. Nitafurahi siku Moja tunakaa tunaongea na kupiga story mbali mbali as Jf members.