Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuna hili wazo naliweka mezani; kwa nini tusianzishe kundi litakaloitwa 'Entertainment Group'?
Hili kundi liwe na wanachama angalau 100,000 ambapo kila mmoja atachangia shilingi 2000; ikiwa na maana ya kuwa kutakuwa na pato la Tsh. 200,000,000/=, iwe kwa event moja ama zaidi, kutokana na muongozo utakao kuwepo.
Hili kundi, kazi yake ni kuleta wasanii kutoka popote duniani, na kufanya marketing ili watu wengi waweze kushiriki tamasha hilo, na faida itakayopatikana, wagawiwe wanachama.
Wakuu, mnalionaje hili wazo?