Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kweli mkuu, ila vichwa vingi vikijadili, uwezekano unaweza kupatikanaWazo zuri ila kupata hao watu laki moja ni mziki mzito boss
Wote wakiwa na mtazamo kama wako, tutafika mbali.Toa namba mi nitume buku mbili yangu kabisa masuala ya fursa sio ya kujiuliza mara mbili
Kirahisi hivo?Wote wakiwa na mtazamo kama wako, tutafika mbali.
Tusubiri watu kama 500 hivi wachangie mawazo, ili wazo liweze kusonga mbele.
Watu watakaochangia sh. 2000 inakuwa kama hisa, ila wapo watakaotoa zaidi; kuhusu watu kutoingia au kuingia, kutakuwa na wataalamu wa hayo maeneo ambayo ni kazi yao, pia watu wa 'risk management' watakuwepo.Halafu watu wasipoingia kwnye tamasha pesa za wanachama unarudishaje, Aisee hili wazo lako bado hujachanganua ila kwa ishu za entertainment nichek
Kama watu wananunua vocha ya 5000 n.k, kwa nini ishindikaneKirahisi hivo?
Hili wazo kama nakupa marks nakupa 15% ya 100%.
Wanachama 100,000 ni wengi mno na wote umewapa nguvu sawa. Mnaweza fanya vikao mwaka bila kuwa na hatma ya mjadala. Kampuni huwa zinatoa hisa unakuta wamiliki wa kampuni ni 200,000 ila kati yao kuna watu wanne wanamiliki zaidi ya 60% ya kampuni. Hao wanne ndio wanasikilizana. Simba haiwezi acha kumsikiliza Mo mwenye 49% ikamsikiliza Fundi baiskeli aliyechanga elfu ngapi kwenye App.
Kama hutaki iwe kampuni basi ikiwa kikundi kitakuwa kigumu mno kuongozwa.
Wazo lako lingekuwa na maana kidogo kama linahusisha watu wachache watakaoweka hela nyingi. Kawaida ya shareholders wa hela nyingi huwa wanaijua hiyo sekta au hufanya consultation. Na hawajali faida ya haraka
Nini kifanyike ili kuboresha wazoI’m in
Sawa mkuu, nini kifanyike ili wazo lizidi kusonga mbeleNipo hapa kusimamia legal rights zote Pamoja na timu yangu.
Nini kifanyike mkuuHapo shida ni kwa waweka hazina tu. Maana kila mtu atataka kuwa mhasibu. Piga jesabu buku 2 kila mwezi kwa mwaka kwa hao watu, huo si utajiri kbsa?
Au ndo yale ya Mange kimavi?🤔
Kama alivyoeleza mkuu T14 Armata .Sawa mkuu, nini kifanyike ili wazo lizidi kusonga mbele
Wawe kama wangapi?Kama alivyoeleza mkuu T14 Armata .
Kupunguza watu wabaki wachache .. alafu Tuanze Kidogo huku tukiwaza vikubwa.
Andaa mchanganuo wako mkuu wewe ndo CEO , founder Nipe/tupe plan YAKO kamilifu tuifanyie marekebisho .Wawe kama wangapi?