Wazo: Kufanya watu ndio majaji wa maisha yako kutakugharimu

Hii inanigharimu hata sasa. Sijui kwann naloose confidence a day after day licha ya kusoma motivation articles nyingi sana
Acha kusoma sasa fanya kwa vitendo yale uliyosoma.
 
Hii inanigharimu hata sasa. Sijui kwann naloose confidence a day after day licha ya kusoma motivation articles nyingi sana
Aha ha a nacheka utafikiri mazuri, inshort self motivated people ndo huwa wanawin . article ni kama energizer tu usipotumia hoi
 
...Uamuzi wako wa kusikiliza sana maneno ya watu na kuwafanya wao ndio majaji na wa waamuz wa maisha yako, yaani mpaka wakuthibitishe wao ndio ufanye jambo, itakugharimu nguvu nyingi sana Kufikia Mafanikio...
[emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…