Wazo kuu la kupata pesa

Wazo kuu la kupata pesa

Hayo madeni na miradi vinalipwa kwa US dollar, sasa wewe una prints pesa za Kibongo ni bure tu, hazina power kwenye uchumi wa dunia.
Huwezi kwenda china au India kufungasha mzigo kwa hizo pesa za dagaa za Kibongo.
Kama purchases zote zingekuwa za ndani wazo lako zuri ila kama materials na bidhaa zote muhimu zinatoka nje ukijaza minoti ni kazi bure
 
Inflation itakua juu. Pesa itakua nyingi mtaani na bidhaa zitakua adimu kwani kila mtu anapesa ya kununua ndipo thamani ya vitu itaongezeka. Shilingi yetu nayo itashuka thamani . Maisha yatakua juu sana. Mkate unaweza kuuzwa Tsh5000 kisa watu wanapesa watanunua tu
Mfano n nchi y zimbabwe ilisha fsnya icho kitu
 
Hayo madeni na miradi vinalipwa kwa US dollar, sasa wewe una prints pesa za Kibongo ni bure tu, hazina power kwenye uchumi wa dunia.
Huwezi kwenda china au India kufungasha mzigo kwa hizo pesa za dagaa za Kibongo.
Kama purchases zote zingekuwa za ndani wazo lako zuri ila kama materials na bidhaa zote muhimu zinatoka nje ukijaza minoti ni kazi bure
Tunabadilisha pesa zinakuwa dollars
 
Habari zenu JF Mimi nilikuwa Nina ushauri ..kutokana na Hali ya uchumi nchini kwanini Hela zisitengenezwe nyingi afu watu wapewe Kila mtu akawa na hela nyingi zingine tukalipa madeni ya nchi zingine tukaboresha miradi ..zingine tukatengeneza nchi ikawa bora ...
high demands ya domestic products itatokea na kupelekea mfumuko wa bei
 
Sio jambo zuri mimi nashauri tupunguze masifuri ili pesa iwe strong
Tanzania haina vitega uchumi vinavyo wezesha kue na upatikanaji wa dollar nchini
Tungekuwa na mazao mengi yanayo safirishwa nje ya nchi, au madini Kuuzwa kwa Tsh pamoja na viwanda vingi basi shillingi yetu ingekuwa na thamani
 
Back
Top Bottom