Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Tunabadilisha pesa zinakuwa dollarsHayo madeni na miradi vinalipwa kwa US dollar, sasa wewe una prints pesa za Kibongo ni bure tu, hazina power kwenye uchumi wa dunia.
Huwezi kwenda china au India kufungasha mzigo kwa hizo pesa za dagaa za Kibongo.
Kama purchases zote zingekuwa za ndani wazo lako zuri ila kama materials na bidhaa zote muhimu zinatoka nje ukijaza minoti ni kazi bure
Elimu muhimu ishort ukifanya hivyo pesa inakuwa haina thamani unga kilo unaweza nunu hata laki je kubadili dollor inaweza chukua hata laki tano kupata dola moja tuTunabadilisha pesa zinakuwa dollars
high demands ya domestic products itatokea na kupelekea mfumuko wa beiHabari zenu JF Mimi nilikuwa Nina ushauri ..kutokana na Hali ya uchumi nchini kwanini Hela zisitengenezwe nyingi afu watu wapewe Kila mtu akawa na hela nyingi zingine tukalipa madeni ya nchi zingine tukaboresha miradi ..zingine tukatengeneza nchi ikawa bora ...
Tanzania haina vitega uchumi vinavyo wezesha kue na upatikanaji wa dollar nchiniSio jambo zuri mimi nashauri tupunguze masifuri ili pesa iwe strong
Hilo nalo neno tuuza madini kwa tsh ili pesa iwe strongTanzania haina vitega uchumi vinavyo wezesha kue na upatikanaji wa dollar nchini
Tungekuwa na mazao mengi yanayo safirishwa nje ya nchi, au madini Kuuzwa kwa Tsh pamoja na viwanda vingi basi shillingi yetu ingekuwa na thamani