Habarini wana jf, ningependa kutoa ushauri kwa mitandao ya simu waweze kuweka options ya mtu ili aweze kublock namba yake pale anapopata na matatzo hata kama hana line yake hapo alipo hii itarahisisha hata kama mtu ameibiwa simu wale wez wasiweze kufanya utapeli,, mtu awe na uwezo wakulock hata kama ni kwa internet au kudial namba na ku unlock akitaka si lazma aende customer service..
Picha inahusiana Na mtu aliibiwa simu wakatumia kutapeli jamaa mwizi nimemtukana sana baada ya kunpigia